MCHANGANUO WA Tsh 300,000 (LAKI TATU) KWA UFUGAJI WA KUKU WA KIENYEJI.
LEO TUANGALIE MCHANGANUO WA TSHS 300,000/= (LAKI TATU) KWA KUANZISHA MTADI WA UFUGAJI KUKU WA KIENYEJI. Hapa tuta hitaji kuku 11 tu wakubwa wanaotaga yani majike 10 na Jogoo 1 tu. Kwa kutumia kuku hao 11 baada ya miezi mitatu unaweza ukawa na kuku mia Tatu
Learn MoreUKUAJI WA MATUMIZI YA TEKNOLOJIA KWENYE KILIMO
Na Eng Octavian Lasway Irrigation and water resources engineer +255763347985/0673000103 Katika ulimwengu wa sasa ambao maendeleao na mgeuzi mengi yamefanyika basi kilimo pia kinaendelea kwa kasi hiyo hiyo kama sekta nyingine. Kuanzia zama za mawe, chuma ….n.k tumekuwa tukisoma na kuona namna ambayo mabadiliko ya teknolojia yanavyoathiri
Learn MoreNJIA BORA ZA KUKINGA MIMEA YAKO DHIDI YA JUA KALI NA MVUA KUBWA
Eng OCTAVIAN J LASWAYIRRIGATION AND WATER 0763347985/0673000103 Mara baada ya kujua kuhusiana na mbolea ya maji na mbolea nyinginezo pamoja na aina za umwagiliaji na kilimo hiki cha kisasa kwa ujumla tunafaidika sana na nakala zako za kilimo sana. Kwa ujumla naitwa Saida Salumu kutoka Tanga Tanzania nahitaji kujua
Learn MoreNAMNA NZURI YA KUPIMA UDONGO.
Ni muhimu sana kufahamu aina ya udongo kabla ya kuanza kilimo cha zao lolote hii itakusaidia kupata mazao bora Zaidi na kwa wingi iwapo pia utunzaji mzuri utazingatiwa. Maeneo mengi hapa nchini yana udongo tofauti tofauti kulingana na hali ya eneo hilo,
Learn MoreKANUNI ZA KILIMO CHA VITUNGUU.
KANUNI ZA KILIMO CHA VITUNGUU. In english click here Vitunguu ni moja ya zao la bustani linalopendwa na kutumiwa kwa wingi sana si hapa nchini tu bali duniani kote kwa ujumla. Linachukua nafasi ya pili baada ya nyanya. Kitunguu kinatumika katika kachumbari, kama kiungo kwenye kitoweo
Learn More



