UFUGAJI WA SAMAKI KISASA NA KIBIASHARA
UTANGULIZI Ufugaji samaki ni kazi ya kupanda, kukuza na kutunza samaki katika mabwawa, mito, mifereji au eneo lililotengwa kwa ajili ya ukusanyaji wa maji, uzio (uliotengenezwa kwa vyuma, nyavu au miti) au eneo lolote ambalo udhibiti wake uko chini ya mamlaka ya mfugaji mwenyewe. Mabwawa ya samaki hutengenezwa
Learn MoreUFUGAJI WA KUCHANGANYA SAMAKI NA WANYAMA WENGINE (ufugaji mseto) INTEGRATED AGRO- AQUACULTURE
Godfrey, Christopher SwayMtaalamu wa ufugaji samaki kutokaChuo kikuu cha Sokoine cha Kilimo +255752799673/0655859810 Ufugaji mseto wa samaki ni ufugaji ambao bwawa la samaki linakuwa ndani ya shamba pamoja na shughuli nyingine za shamba aidha hapo hapo shambani au katika eneo lililo mbali kidogo na shamba. Shughuli za
Learn MoreMAMBO MUHIMU YA KUZINGATIA KABLA YA KUANZA UFUGAJI WA SAMAKI
Godfrey, Christopher SwayMtaalamu wa samaki kutoka Chuo Kikuu cha Kilimo SUA.+255752799673/ 0655859810Kwa mahitaji ya ushauri, utengenezaji wa bwawa, utunzaji wa bwawa,uchanganyaji wa chakula, wasiliana nasi•Mfugaji anatakiwa awe na shauku na dhamira ya kweli ya ufugaji.•Kufanya tathmini ya rasilimali alizonazo kwa ajili ya mradi wa ufugaji wa samaki.•Chanzo
Learn MoreONGEZA KIPATO CHAKO MARADUFU KWA KUFUGA SAMAKI AINA YA PEREGE KIBIASHARA
Godfrey, Christopher Sway Mtaalamu wa samaki kutoka Sokoine University of Agriculture +255752799673 / 0655859810 Ufugaji samaki ni kazi ya kupanda, kukuza na kutunza samaki katika mabwawa, mito, mifereji au eneo lililotengwa kwa ajili ya ukusanyaji wa maji, (water harvesting ponds) uzio (uliotengenezwa kwa vyuma, nyavu au miti)
Learn MoreKWA MATOKEO MAZURI JIFUNZE NJIA ZA KITAALAMU ZA USAFIRISHAJI NA UPANDIKIZAJI WA VIFARANGA VYA SAMAKI
UTANGULIZI Mbegu za samaki (vifaranga) ni vifaranga vya samaki ambavyo vinapatikana kwa njia tofauti tofauti kulingana na namna mkulima mwenyewe ataamua. Njia ya kwanza ni ile ya samaki kuzaliana wenyewe bwawani wanapofikia umri wa kuzaliana wenyewe kwa wenyewe. Samaki hawa (brooders) ambao wanakua ni madume na
Learn MorePATA MATOKEO MAZURI KWA KUFUGA SAMAKI AINA YA KAMBALE KWA KUZINGATIA USHAURI WA KITAALAM
Godfrey, Christopher Sway Mtaalamu wa Samaki kutoka Sokoine University of Agriculture +255752799673 / 0655859810 Kwa mahitaji ya ushauri, utengenezaji na utunzaji wa mabwawa ya samaki wasiliana nasi Kambale (Claries gariepinus), ni aina ya samaki ambao wanafugwa kwenye maji baridi na wana uwezo wa kustahimili mazingira magumu ukilinganisha na
Learn MoreMWONGOZOWA KILIMO BORA CHA MAHINDI
MWONGOZOWA KILIMO BORA CHA MAHINDI Kwa mahitaji ya mbegu bora za mahindi wasiliana nasi kwa number 0628589132/0653170242 UTANGULIZIMahindi ni zao muhimu la chakula, na ni aina ya nafaka inayotumiwa zaidi kama chakula,uhususani katika matifa ya
Learn More



