• Call Us+255 676 262757
Holly%20Green%20Agric%20Group%20Limited
  • Write Emailsales@greenagriculturetz.com

Digital marketing is the component of marketing that uses the Internet and online based digital technologies such as desktop computers, mobile phones and other digital media and platforms to promote products and services.

  • ADDRESS:

    California, TX 70240
  • EMAIL:

    support@validtheme.com
  • PHONE:

    +44-20-7328-4499

Get Subscribed!

Holly%20Green%20Agric%20Group%20Limited
Holly%20Green%20Agric%20Group%20Limited
  • Home
  • About
    • Our Company
    • Message From CEO
    • Our Team
    • Our Clients
  • Our Services
    • Farm Planning & Layout
    • Soil Testing and Analysis
    • Irrigation system design and installation
    • Green house design and installation
    • Training and Capacity Building
    • Fish Pond Design and Construction
    • Rainwater Harvesting System Design
    • Post Harvest Technologies
    • Solar Power Equipment and Water System
    • Supplies of Products and Equipments
  • Our Products
  • News & Updates
  • Contacts
  • Request a quote

MASWALI NA MAJIBU KUHUSU KITUNGUU NA TIKITIMAJI, MCHANGANUO WA GHARAMA.

Home / AGRONOMY / MASWALI NA MAJIBU KUHUSU KITUNGUU NA TIKITIMAJI, MCHANGANUO WA GHARAMA.
  • July 22, 2022


Wataalamu ABDUL MKONO (MWL ABUU)  BSc AEA, SUA                      

 a2mkno@gmail.com  0767359818 0652359818Eng  OCTAVIAN J LASWAY0763347985/0673000103

Mtaalamu kutokana na ufuatiliaji wa Makala zenu toka mwanzo nahitaji kujua muda maalumu wa kulima zao la kitunguu na tikiti maji na gharama zao kwa ujumla kwa ekari moja maana nakumbuka ulisema tatizo mojawapo la wakulima kushindwa kufanikiwa katika kilimo ni kutokujipanga kirasilimali pesa na kutokujua masoko na kipindi chake. Jina langu ni NOAH MUDYAHELA kutoka KILIMANJARO.MAJIBU:Kwa zao la kitunguu mnaweza kuanza kuandaa mashamba mwezi wa tano mwishoni hivi ili mwezi wa sita mwanzoni msie mbegu kitaluni, ambapo miche itakaa kitalauni mpaka mwezi wa saba katikati au mwishoni, kisha miche itakwenda shambani wiki ya kwanza ya mwezi wa 8, ambapo utavivuna mwezi wa 10 katikati. Kisha utavihifadhi mpaka mwezi wa 11 mwishoni/December mwanzoni utaanza kupata bei nzuri angalau gunia moja la kilo 100-120 utaanza kupata tsh 100,000-150,000. Mavuno ni gunia kuanzia gunia 70-80 kwa uchache mpaka gunia 120. Hivyo ujiandae kupata kiasi cha Tshs 7,000,000 mpaka 8,000,000 na zaidi au pungufu pia hii yoote hutokana na matunzo na jinsi ya kuhudumia shamba Kama ushauri kutoka kwa wataalaumu na kupima udongo. Na hiyo ni bei ya faida kwani kuhusiana na swali lako la kujua gharama huwa haizidi milioni mbili na nusu (2,500,000) angalia jedwali hapo chini.

Kwa zao la tikiti maji, maandalizi ya shamba yanaweza kuanza mwezi wa saba, ili uweze kuzipanda mwezi wa 8 katikati. Hapa utakuja kuvuna mwezi wa 10. Tikiti hizi za mwezi wa 10 zinabei nzuri sana maana wakati huo ni kiangazi mnoo nchi nzima, kwa hiyo wale wapambanaji watakaokabiliana na ukame kwa kumwagilia maji, basi mwezi wa kumi mpaka wa kumi na moja tikiti pia huwa na bei nzuri sana. Lakini pia tikiti za mwezi wa tatu mpaka wa nne (Wakati wa masika) pia soko lake huwa zuri kwani kuzalisha kipindi cha mvua kuna changamoto kubwa na wengi hukwama. Huingia miche 2000 mpaka 3000 na ukisimamia vyema unaweza pata matunda 200-3000 yenye kilo 8-12 na kila tikiti kwa bei shambani tsh 1800-2500. Waweza pata 3,600,000 mpaka 7,500,000. Na kwa ekari moja gharama ni kama ths 1,630,000/- hivyo waweza ona wapata faida nzuri sana ndani ya siku 75. Angalia mchanganuo wa gharama za tikiti hapo chini katika jedwali

KUMBUKA;Mavuno ya mazao yeyote yale hutegemeana na usimamizi uliokuwa bora katika menejimenti watu, madawa, mbolea na rasilimali pesa kwa ujumla. Kwa kuwa mambo haya hutofautiana baina ya wakulima katika maandalizi ndio utakuta hata mavuno huja tofauti pia. Kuhusiana na gharama hapo juu huweza kuongezeka kidogo au kupungua kutokana na eneo husika, wafanyakazi, au msimu.

Share:

Previous Post
MASWALI NA
Next Post
MASWALI NA

Leave a comment

Cancel reply

Recent Post

  • 04 February, 2021KANUNI ZA KILIMO CHA VITUNGUU.
  • 04 February, 2021MWONGOZOWA KILIMO BORA CHA MAHINDI
  • 04 February, 2021KILIMO BORA CHA KAROTI(CARROT)

Tags

category list

  • AGRONOMY 26
  • IRRIGATION 1
  • IRRIGATION 5
  • POST HARVESTING, 7
  • TECHNOLOGY 5
  • Uncategorized 4
Holly%20Green%20Agric%20Group%20Limited

Our vision centers around the creation and innovation of products and services tailored to benefit farmers. Our aspiration is to transform these offerings from mere business ventures into essential components of the agricultural industry, effectively addressing the fundamental needs of the farming community

Explore

  • Farm Planning and Layout
  • Soil Testing and Analysis
  • Irrigation System Design and Installation
  • Solar Power Equipment and Water System
  • Rainwater Harvesting System Design
  • Fish Pond Design and Construction
  • Post Harvest Technologies
  • Training and capacity Building
  • Green house design and installation

Recent Articles

  • KANUNI ZA KILIMO CHA VITUNGUU.
  • MWONGOZOWA KILIMO BORA CHA MAHINDI
  • KILIMO BORA CHA KAROTI(CARROT)

Contact Info

ADDRESS:
Headquarter :
Pamba House
Plot No. 97-103
Old Dar es Salaam Rd
P.O. Box 910
Morogoro, Tanzania

Branch :
Nazareti Street
HSE Block T508
Njombe, Tanzania

EMAIL:
sales@greenagriculturetz.com

PHONE :
+255 676 262757
+255 767 102418
+255 763 347985

Copyright 2025 Holly Green Agric Group Limited. All Rights Reserved.

Holly Green Agric Group Limited