UGONJWA HATARI KWA PAPAI  NA TIBA YAKE

UGONJWA HATARI KWA PAPAI  NA TIBA YAKE

je utafanya nini unapoona mapapai yako shambani yana dalili kama hizi?


tiba ya kienyeji kabisa na yenye ufanisi mkubwa ni ipi?
Basi fuata kanuni zifuatazo
1. Chuma matawi ya mti wa mwarobaini kisha yatwange kwenye kinu au yaponde kwa njia yoyote ile2.lowesha kwenye maji kwa kutumia chombo kisafi kwa masaa sita3.chuja mchanganyiko wako vizuri na weka maji yake kwenye bomba aka sprayer 4. nyunyizia mapapai yako yote shambani na huu ugonjwa utaoondoka wote na mapapai yako yatabaki na afya nzuri NB: tiba hii inafanya kazi vizuri endapo ukiwahi kabla ugojwa haujashamiri sana 
                                                      Octavian Lasway                                          

0763347985,0783601903