KILIMO BORA CHA PARACHICHI (AVOCADO), UZALISHAJI NA MASOKO
Parachichi ni tunda linalotumiwa sana na watu wengi, linalotokana na mti wa mparachichi, hupatikana karibu maeneo mengi hapa Tanzania, Mikoa inayolima kwa wingi sana ni Njombe, Mbeya, Kagera pamoja na Kilimanjaro, Parachichi hupenda maeneo yenye hali ya hewa ya ubaridi na udongo wenye rutuba hasa udongo wa
Learn MoreNAMNA NZURI YA KUPIMA UDONGO.
Ni muhimu sana kufahamu aina ya udongo kabla ya kuanza kilimo cha zao lolote hii itakusaidia kupata mazao bora Zaidi na kwa wingi iwapo pia utunzaji mzuri utazingatiwa. Maeneo mengi hapa nchini yana udongo tofauti tofauti kulingana na hali ya eneo hilo,
Learn MoreKILIMO BORA CHA MICHUNGWA, UANDAAJI WA SHAMBA , UPANDAJI, UTUNZAJI WA MICHE NA MASOKO
Chungwa ni tunda linalotokana na mti wa mchungwa jamii ya mlimau lina Vitamin C kwa wingi ambapo hupelekea kupendwa na watu wengi, Husaidia kuimarisha kinga ya mwili. Hustawi maeneo mengi ya Pwani, Tanga, Mtwara, Lindi, Morogoro pamoja na Dar es salaam, kutokana na hali ya hewa
Learn More


