DRIP IRRIGATION THE ONLY SOLUTION TO SAVE WATER AND TO OPTIMIZE YIELD
A Brief About Drip Irrigation In Your Farm posted by Eng(T) Octavian Lasway, Drip irrigation expertFor minding water usage in the landscape, there’s no better way to direct H2O straight to the source (plant roots, of course) than drip irrigation. But is drip irrigation a smart solution
Learn MoreKILMO BORA CHA MIGOMBA
Na Eng Octavian Lasway Hapa Tanzania kilimo cha migomba kimekuwepo Kwa miaka mingi. Kilimo hiki ni maarufu sana kwa sababu zao la ndizi limekuwa likitumika kama chakula kikuu kwa baadhi ya mikoa kama vile Kagera, Kilimanjaro na Mbeya na hivyo kulifanya zao hili liwe la muhimu, kufuatia mazao ya
Learn MoreKILIMO BORA CHA NYANYA
MAGONJWA NA WADUDU Utangulizi Karibu tena ndugu msomaji wa makala zetu ndani ya Green Agriculture , ni matumaini yetu kuwa makala zetu zimekuwa chachu ya kukufanya wewe mkulima na mwekezaji kwenye sekta ya kilimo ufanye shughuli zako kitaalamu zaidi na upate mavuno yenye tija kuendana na
Learn MoreMCHANGANUO WA Tsh 300,000 (LAKI TATU) KWA UFUGAJI WA KUKU WA KIENYEJI.
LEO TUANGALIE MCHANGANUO WA TSHS 300,000/= (LAKI TATU) KWA KUANZISHA MTADI WA UFUGAJI KUKU WA KIENYEJI. Hapa tuta hitaji kuku 11 tu wakubwa wanaotaga yani majike 10 na Jogoo 1 tu. Kwa kutumia kuku hao 11 baada ya miezi mitatu unaweza ukawa na kuku mia Tatu
Learn MoreJINSI YA KUTENGENEZA BUSTANI NDOGO NYUMBANI KWAKO
JINSI YA KUTENGENEZA BUSTANI NDOGO NYUMBANI Kuna njia mbali mbali waweza kuepuka kutumia mboga mboga zinazolimwa usikokujua na kuepuka kujiingiza katika afya mbaya kwa matumizi ya kemikali za kuulia wadudu na magonjwa zinazotumika katika ukuzaji wa mboga mboga. Aina za bustani 1. Unaweza tumia makopo amabayo
Learn More


