UGONJWA HATARI KWA PAPAI NA TIBA YAKE
UGONJWA HATARI KWA PAPAI NA TIBA YAKE je utafanya nini unapoona mapapai yako shambani yana dalili kama hizi? tiba ya kienyeji kabisa na yenye ufanisi mkubwa ni ipi?Basi fuata kanuni zifuatazo1. Chuma matawi ya mti wa mwarobaini kisha yatwange kwenye kinu au yaponde kwa njia yoyote
Learn MoreKILIMO BORA CHA MIEMBE , UCHAGUZI WA MBEGU , UPANDAJI , UTUNZAJI NA MASOKO
Embe ni tunda linalotokana na mti wa muembe, hupandwa kwa njia ya mbegu kutoka kwenye tunda lilokwisha komaa au kuiva vizuri. NAMNA YA KUANDAA MBEGUMbegu nzuri huchaguliwa kutoka kwenye tunda lenyewe na kumenywa vizuri kwa ajili ya kuchukua kiini cha ndani, baada ya kutoa kokwa la
Learn MoreMWENDELEZO NAMNA YA KULIMA TANGAWIZI
KILIMO BORA CHA TANGAWIZIFOR ENGLISH CLICK HERETangawizi ni moja kati ya aina za mazao ya viungo ambayo sehemu inayotumika ni tunguu (rhizome). Zao hili kwa lugha ya kigeni linafahamika kama Zingiber officinale.UDONGO NA KUSTAWIZao hili hustawi katika maeneo yenye hali ya kitropiki, kutoka usawa wa bahari
Learn MoreSYSTEM OF RICE INTENSIFICATION SEEDBED PREPARATION.
SYSTEM OF RICE INTENSIFICATION SEEDBED PREPARATION click here to read previous article SYSTEM OF RICE INTENSIFICATION SEEDBED PREPARATION Methods The System of Rice Intensification is not a new method or technology. It is just altering the management practices to make more productive phenotype from the same
Learn MoreONIONS BRINGING YOU TEARS OF JOY! GET TO KNOW BASIC PRINCIPLES FOR ONION FARMING
GET TO KNOW BASIC PRINCIPLES FOR ONION FARMING kwa kiswahili bonyeza hapa GET TO KNOW BASIC PRINCIPLES FOR ONION FARMING Onion is a horticultural vegetable crop which have short, modified, underground stem surrounded by usually fleshy modified leaves that contain stored food for the shoot within an
Learn MoreFARMING OF PASSION FRUITS
PASSION FRUITS BUSINESS These sweet raw edible fruits and mostly preferred in homestead juice making more over passion juice can be mixed with other fruits juice such as mango, avocado, pineapple to increase flavour and test and also used in food industries to make drinks and
Learn MoreKILIMO BORA CHA BILINGANYA NA SOKO LAKE.
KILIMO BORA CHA BILINGANYA.Bilinganya imo katika jamii ya mimea inayohusisha nyanya, pilipili, viazi mviringo na nyanya mshumaa. Mboga hii ina viini lishe muhimu kama vile madini aina ya chokaa na chuma, Vitamini A, B na C, wanga, protini na maji. Mboga hii hutumika kutengeneza supu au
Learn MoreMASWALI NA MAJIBU KUHUSU NYANYA NA HOHO, KARIBU TUKUHUDUMIE.
MASWALI NA MAJIBU KUTOKA KWA WAKULIMA WETU Wataalamu ABDUL MKONO (MWL ABUU) BSc AEA, SUA a2mkno@gmail.com 0767359818 /0652359818Eng OCTAVIAN J LASWAYIRRIGATION AND WATER0763347985/0673000103 Naitwa LEAH PETER nipo Dar es salaam a) Ni upi umuhimu wa buster kwa mazao
Learn MoreMASWALI NA MAJIBU KUHUSU KITUNGUU NA TIKITIMAJI, MCHANGANUO WA GHARAMA.
Wataalamu ABDUL MKONO (MWL ABUU) BSc AEA, SUA a2mkno@gmail.com 0767359818 0652359818Eng OCTAVIAN J LASWAY0763347985/0673000103 Mtaalamu kutokana na ufuatiliaji wa Makala zenu toka mwanzo nahitaji kujua muda maalumu wa kulima zao la kitunguu na tikiti maji na gharama zao kwa
Learn MoreMASWALI NA MAJIBU, TUNAWAJALI WAKULIMA WETU
MASWALI NA MAJIBU Moja kwa moja katika kuboresha kilimo tunawaletea maswali na majibu kama mlivyo uliza kwenye mitandao ya kijamii na magazeti Wataalamu ABDUL MKONO (MWL ABUU) BSc AEA, SUA Email : a2mkno@gmail.com Phone 0767359818 0652359818 ENGINEER OCTAVIAN J
Learn More







