UUZALISHAJI WA ZAO LA VIAZI MVIRINGO
BIASHARA YAKE NA SOKO Viazi mviringo ni moja kati ya zao ambalo kamwe uhitaji wake hauwezi kupungua bali unazidi kuongezeka kadiri siku zinavyokwenda na kwa umaarufu wake kutumika kupika mapishi mbalimbali ya majumbani na mahotelini.biashara ya viazi aka chips inalipa sana sio kwa mkulima tuu bali
Learn MoreNJIA NZURI ZA KUONDOA MAGADI(SALTS) SHAMBANI
UtanguliziKatika mashamba mengi tatizo la udongo na ardhi kwa ujumla kujaa chumvi au magadi limekuwa tatizo kubwa kwa wakulima wengi kwani magadi au chumvi huleta madhara makubwa sana kwa mazao na hata mazao mengine hufa kabisa pale yanapooteshwa kwenye udongo wenye magadi mfano wa mashamba yalioadhirika
Learn MoreUZALISHAJI WA TIKITIMAJI
Tikitimaji ni zao la kitropiki linalo tumia siku 65-90 kutoka kupandwa hadi kuvunwa kulingana na aina ya mbegu uliyotumia na hali ya hewa ya eneo husika kwani maeneo ya pwani na yenye joto sana tikitimaji na mazao mengine hukomaa mapema ukilinganisha na maeneo ya milimani yenye
Learn MoreMWONGOZOWA KILIMO BORA CHA MAHINDI
UTANGULIZIMahindi ni zao muhimu la chakula, na ni aina ya nafaka inayotumiwa zaidi kama chakula,uhususani katika matifa ya Afrika, na yamekuwa yakitumika zaidi na nchi zilizopo kusini mwa jangwa la Sahara. Ni chakula cha matumizi ya nyumbani kwa idadi ya watu inayokadiriwa kuwa asilimia 50. Ni chanzo
Learn MoreKILIMO BORA CHA PARACHICHI (AVOCADO), UZALISHAJI NA MASOKO
Parachichi ni tunda linalotumiwa sana na watu wengi, linalotokana na mti wa mparachichi, hupatikana karibu maeneo mengi hapa Tanzania, Mikoa inayolima kwa wingi sana ni Njombe, Mbeya, Kagera pamoja na Kilimanjaro, Parachichi hupenda maeneo yenye hali ya hewa ya ubaridi na udongo wenye rutuba hasa udongo wa
Learn MoreKILIMO BORA CHA MICHUNGWA, UANDAAJI WA SHAMBA , UPANDAJI, UTUNZAJI WA MICHE NA MASOKO
Chungwa ni tunda linalotokana na mti wa mchungwa jamii ya mlimau lina Vitamin C kwa wingi ambapo hupelekea kupendwa na watu wengi, Husaidia kuimarisha kinga ya mwili. Hustawi maeneo mengi ya Pwani, Tanga, Mtwara, Lindi, Morogoro pamoja na Dar es salaam, kutokana na hali ya hewa
Learn More





