MAMBO MUHIMU YA KUZINGATIA KABLA YA KUANZA UFUGAJI WA SAMAKI
Godfrey, Christopher SwayMtaalamu wa samaki kutoka Chuo Kikuu cha Kilimo SUA.+255752799673/ 0655859810Kwa mahitaji ya ushauri, utengenezaji wa bwawa, utunzaji wa bwawa,uchanganyaji wa chakula, wasiliana nasi•Mfugaji anatakiwa awe na shauku na dhamira ya kweli ya ufugaji.•Kufanya tathmini ya rasilimali alizonazo kwa ajili ya mradi wa ufugaji wa samaki.•Chanzo
Learn MoreONGEZA KIPATO CHAKO MARADUFU KWA KUFUGA SAMAKI AINA YA PEREGE KIBIASHARA
Godfrey, Christopher Sway Mtaalamu wa samaki kutoka Sokoine University of Agriculture +255752799673 / 0655859810 Ufugaji samaki ni kazi ya kupanda, kukuza na kutunza samaki katika mabwawa, mito, mifereji au eneo lililotengwa kwa ajili ya ukusanyaji wa maji, (water harvesting ponds) uzio (uliotengenezwa kwa vyuma, nyavu au miti)
Learn MoreKWA MATOKEO MAZURI JIFUNZE NJIA ZA KITAALAMU ZA USAFIRISHAJI NA UPANDIKIZAJI WA VIFARANGA VYA SAMAKI
UTANGULIZI Mbegu za samaki (vifaranga) ni vifaranga vya samaki ambavyo vinapatikana kwa njia tofauti tofauti kulingana na namna mkulima mwenyewe ataamua. Njia ya kwanza ni ile ya samaki kuzaliana wenyewe bwawani wanapofikia umri wa kuzaliana wenyewe kwa wenyewe. Samaki hawa (brooders) ambao wanakua ni madume na
Learn MorePATA MATOKEO MAZURI KWA KUFUGA SAMAKI AINA YA KAMBALE KWA KUZINGATIA USHAURI WA KITAALAM
Godfrey, Christopher Sway Mtaalamu wa Samaki kutoka Sokoine University of Agriculture +255752799673 / 0655859810 Kwa mahitaji ya ushauri, utengenezaji na utunzaji wa mabwawa ya samaki wasiliana nasi Kambale (Claries gariepinus), ni aina ya samaki ambao wanafugwa kwenye maji baridi na wana uwezo wa kustahimili mazingira magumu ukilinganisha na
Learn MoreNJIA NZURI ZA KUONDOA MAGADI(SALTS) SHAMBANI
UtanguliziKatika mashamba mengi tatizo la udongo na ardhi kwa ujumla kujaa chumvi au magadi limekuwa tatizo kubwa kwa wakulima wengi kwani magadi au chumvi huleta madhara makubwa sana kwa mazao na hata mazao mengine hufa kabisa pale yanapooteshwa kwenye udongo wenye magadi mfano wa mashamba yalioadhirika
Learn MoreFAHAMU NAMNA NZURI YA KUVUNA MAJI YA MVUA KWA AJILI YA KILIMO NA MIFUGO.
FAHAMU NAMNA NZURI YA KUVUNA MAJI YA MVUA Eng Octavian Justine Lasway Irrigation and Water Resources Engineer Sokoine University of Agriculture Green Agriculture Company Limited 0763347985/0673000103 Wasiliana na nasi kwa ajili ya usanifu,utengenezaji na ununuzi wa materials. Katika maeneo mengi ya Afrika mashariki hususani Tanzania tuna
Learn MoreUZALISHAJI WA TIKITIMAJI
Tikitimaji ni zao la kitropiki linalo tumia siku 65-90 kutoka kupandwa hadi kuvunwa kulingana na aina ya mbegu uliyotumia na hali ya hewa ya eneo husika kwani maeneo ya pwani na yenye joto sana tikitimaji na mazao mengine hukomaa mapema ukilinganisha na maeneo ya milimani yenye
Learn MoreMWONGOZOWA KILIMO BORA CHA MAHINDI
UTANGULIZIMahindi ni zao muhimu la chakula, na ni aina ya nafaka inayotumiwa zaidi kama chakula,uhususani katika matifa ya Afrika, na yamekuwa yakitumika zaidi na nchi zilizopo kusini mwa jangwa la Sahara. Ni chakula cha matumizi ya nyumbani kwa idadi ya watu inayokadiriwa kuwa asilimia 50. Ni chanzo
Learn MoreKILIMO BORA CHA PARACHICHI (AVOCADO), UZALISHAJI NA MASOKO
Parachichi ni tunda linalotumiwa sana na watu wengi, linalotokana na mti wa mparachichi, hupatikana karibu maeneo mengi hapa Tanzania, Mikoa inayolima kwa wingi sana ni Njombe, Mbeya, Kagera pamoja na Kilimanjaro, Parachichi hupenda maeneo yenye hali ya hewa ya ubaridi na udongo wenye rutuba hasa udongo wa
Learn MoreNAMNA NZURI YA KUPIMA UDONGO.
Ni muhimu sana kufahamu aina ya udongo kabla ya kuanza kilimo cha zao lolote hii itakusaidia kupata mazao bora Zaidi na kwa wingi iwapo pia utunzaji mzuri utazingatiwa. Maeneo mengi hapa nchini yana udongo tofauti tofauti kulingana na hali ya eneo hilo,
Learn More








