MWONGOZOWA KILIMO BORA CHA MAHINDI
UTANGULIZIMahindi ni zao muhimu la chakula, na ni aina ya nafaka inayotumiwa zaidi kama chakula,uhususani katika matifa ya Afrika, na yamekuwa yakitumika zaidi na nchi zilizopo kusini mwa jangwa la Sahara. Ni chakula cha matumizi ya nyumbani kwa idadi ya watu inayokadiriwa kuwa asilimia 50. Ni chanzo
Learn MoreKILIMO BORA CHA PARACHICHI (AVOCADO), UZALISHAJI NA MASOKO
Parachichi ni tunda linalotumiwa sana na watu wengi, linalotokana na mti wa mparachichi, hupatikana karibu maeneo mengi hapa Tanzania, Mikoa inayolima kwa wingi sana ni Njombe, Mbeya, Kagera pamoja na Kilimanjaro, Parachichi hupenda maeneo yenye hali ya hewa ya ubaridi na udongo wenye rutuba hasa udongo wa
Learn MoreNAMNA NZURI YA KUPIMA UDONGO.
Ni muhimu sana kufahamu aina ya udongo kabla ya kuanza kilimo cha zao lolote hii itakusaidia kupata mazao bora Zaidi na kwa wingi iwapo pia utunzaji mzuri utazingatiwa. Maeneo mengi hapa nchini yana udongo tofauti tofauti kulingana na hali ya eneo hilo,
Learn MoreKILIMO BORA CHA MICHUNGWA, UANDAAJI WA SHAMBA , UPANDAJI, UTUNZAJI WA MICHE NA MASOKO
Chungwa ni tunda linalotokana na mti wa mchungwa jamii ya mlimau lina Vitamin C kwa wingi ambapo hupelekea kupendwa na watu wengi, Husaidia kuimarisha kinga ya mwili. Hustawi maeneo mengi ya Pwani, Tanga, Mtwara, Lindi, Morogoro pamoja na Dar es salaam, kutokana na hali ya hewa
Learn MoreKILIMO BORA CHA KAROTI(CARROT)
KILIMO BORA CHA KAROTI(CARROT) UTANGULIZIKaroti ni aina ya mboga yenye vyanzo vingi vya calcium, iron na wingi wa vitamin B. Kwa jina la kisayansi inajulikana kama Daucus carota, na hustawi sana kwenye udongo wa tifutifu wenye pH ya 6-6.2 na joto (temperature) la 18-24karoti inalimwa maeneo mengi sana
Learn MoreMWONGOZOWA KILIMO BORA CHA MAHINDI
MWONGOZOWA KILIMO BORA CHA MAHINDI Kwa mahitaji ya mbegu bora za mahindi wasiliana nasi kwa number 0628589132/0653170242 UTANGULIZIMahindi ni zao muhimu la chakula, na ni aina ya nafaka inayotumiwa zaidi kama chakula,uhususani katika matifa ya
Learn MoreKANUNI ZA KILIMO CHA VITUNGUU.
KANUNI ZA KILIMO CHA VITUNGUU. In english click here Vitunguu ni moja ya zao la bustani linalopendwa na kutumiwa kwa wingi sana si hapa nchini tu bali duniani kote kwa ujumla. Linachukua nafasi ya pili baada ya nyanya. Kitunguu kinatumika katika kachumbari, kama kiungo kwenye kitoweo
Learn More




