JINSI YA KUTENGENEZA BUSTANI NDOGO NYUMBANI KWAKO
JINSI YA KUTENGENEZA BUSTANI NDOGO NYUMBANI Kuna njia mbali mbali waweza kuepuka kutumia mboga mboga zinazolimwa usikokujua na kuepuka kujiingiza katika afya mbaya kwa matumizi ya kemikali za kuulia wadudu na magonjwa zinazotumika katika ukuzaji wa mboga mboga. Aina za bustani 1. Unaweza tumia makopo amabayo
Learn MoreHATARI VIWAVI JESHI, MADHARA YAKE NA NAMNA YA KUWAKABILI
Agronomist Lidya GeraldPhone: 0659431884Green Agriculture company UtanguliziViwavi jeshi (Helicoverpa ssp) ni hatua ya lava wa kipepeo katika ukuaji wake.Wanakula majani kwa wingi na kusababisha mmea kushindwa kujitengenezea chakula chake kwa ajili ya ukuaji wake.Ni adui mkubwa kwa mkulima kwa sababu wanashambulia mimea mengi kama mahindi,pamba, mbaazi, dengu,
Learn MoreNJIA NZURI YA KUANDAA UDONGO WA KITALU NA KITALU CHENYEWE
Wataalamu ABDUL MKONO (MWL ABUU) BSc AEA, SUA a2mkno@gmail.com 0767359818 / 0652359818Eng OCTAVIAN J LASWAYIRRIGATION AND WATER0763347985/0673000103 Naitwa KULTHUM kutoka DODOMA kutokana na nakala zako nzuri za kilimo kama hiyo ilopita ya mbolea ningependa kujua jinsi ya kuandaa
Learn MoreMWONGOZO WA KILIMO BORA CHA BEETROT
MWONGOZO WA KILIMO BORA CHA BEETROT Na. ABDUL A. MKONO (MWL ABUU) Bsch AEA, SUA UTANGULIZIIli kupata chakula chenye madini ya kutosha na ya kufana wataalamu hushauri tule matunda na mboga mboga kwa wingi. Na mojawapo ya vyakula hivi ni tunda au mmea aina ya beetroot kama
Learn MoreFURSA KUBWA KWENYE KILIMO CHA STRAWBERRY, MASOKO NA UTAALAMU
Na Agronomist Lydia Gerald 0659431884/0620530840 Utangulizi strawberry (fukasidi) hustawi katika maeneo yenye joto la wastani, na hukua kwa haraka zaidi na uzalishaji kuongezeka linapolimwa kisasa zaidi, Hasa katika Green house. Zao hili hukua vizuri katika mwinuko wa mita 1500 na zaidi kutoka usawa wa bahari. Zao hili
Learn MoreUBUNIFU KATIKA KILIMO CHA MUHOGO NA FURSA ZAKE
BIASHARA NA MASOKO YA ZAO LA MUHOGO Zao hili la muhogo kitaalamu husifika sana kwa kuwa na kiasi kingi cha wanga na hiyo wataalamu wanaliweka katika kundi la vyakula vya wanga(carbohydrate), mihogo hupendwa sana kutumika kama kitafunwa, ukiwa mbichi au ukiwa umepikwa kwa makabila mengi hapa
Learn MoreMAMBO YA MUHIMU KWA MKULIMA KABLA NA BAADA YA KUANZA MRADI WA MBOGAMBOGA
KUCHAGUA ENEO. Katika uchaguzi wa eneo kwa ajili ya bustani zingatia yafuatayo:• Mwinuko: Eneo lisiwe kwenye mwinuko mkali kwa sababu sehemu kama hizo zinaweza kusababisha mmomonyoko wa udongo. Endapo sehemu itakuwa ya mwinuko tengeneza matungazi (terrace) ili kuzuia mmomonyoko huo. • Udongo: Udongo unaofaa ni wenye rutuba, mboji
Learn MoreKILIMO BORA CHA KAROTI(CARROT), UANDAAJI WA SHAMBA, MBEGU BORA NA MASOKO
UTANGULIZIKaroti ni aina ya mboga yenye vyanzo vingi vya calcium, iron na wingi wa vitamin B. Kwa jina la kisayansi inajulikana kama Daucus carota, na hustawi sana kwenye udongo wa tifutifu wenye pH ya 6-6.2 na joto (temperature) la 18-24karoti inalimwa maeneo mengi sana nchini ikiwa pamoja na
Learn MoreMATUMIZI BORA YA ARDHI NA MAJI KATIKA KILIMO CHA UMWAGILIAJI, DRIP IRRIGATION
Engineer Octavian J Lasway Irrigation and water Resources Engineer +255763347985/673000103 UTANGULIZI Nchi ya Tanzania ni moja kati ya nchi yenye ongezeko kubwa la idadi ya watu. Kwa sasaidadi ya watu inakaridiria kuwa ni milioni 45, na tafiti zinaonyesha ifikapo mwaka 2100 idadi hiyo itakuwa mara tano ya ilivyo
Learn MoreJIFUNZE KILIMO CHA KUNDE
UTANGULIZIKunde ni zao ambalo linaweza kulimwa kwa ajiliya chakula na bishara ni zoa lenye kiasikukubwa cha protini na majani yake yanawezakutumika kama mboga za majani.Ni zao ambalolinatoa mavuno ya Kiasi cha kilogram 500 hadi1500 kwa ekari.HALI YA HEWA IFAAYONi zao linalostahimili ukame, Kunde hukubalivizuri katika mwinuko
Learn More









